Tumsifu Yesu Kristu,
Midi 'files' ni ma-file madogo yanayochukua nafasi ndogo, ambayo hubeba tuni ya wimbo. Midi Files hutumia sauti ya vifaa mbalimbali, mfano, Organ au Piano n.k. Midi Files sio kama mp3, ambayo hutumia hata sauti halisi za watu wa kuimba.
Saving Midi in Capella
Ku-upload midi files kwenye Swahili Music Notes
Kwa ku-upload midi files kwenye Swahili Music Notes, unawawezesha watu wajue tuni ya wimbo haraka na kirahisi.
Unaweza ku-upload Midi Files kwenye fomu ya kawaida ya ku-upload nyimbo kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.

Saving Midi in MuseScore
- Ukishamaliza kutengeneza wimbo wako, click nenda kwenye File
- Nenda kwenye Save As
- Chagua wapi kwa ku-save
- Badili Save as Type kama ifuatavyo, kisha u-save:
- Nenda kwenye File
- Nenda kwenye Export, Kisha bofya Midi
- Changua kwa kusave, kisha save
Ku-upload midi files kwenye Swahili Music Notes
Kwa ku-upload midi files kwenye Swahili Music Notes, unawawezesha watu wajue tuni ya wimbo haraka na kirahisi.
Unaweza ku-upload Midi Files kwenye fomu ya kawaida ya ku-upload nyimbo kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.
Karibuni tu-upload midi files

No comments:
Post a Comment