Karibu,
Wengi tunahitaji kusave nyimbo tulizotengeneza kwenye Capella Software kama PDF.
Baada ya mawasiliano na kaka Yudatadei na research kidogo ya hapa na pale, nadhani njia hii hapa chini itakuwa itasaidia.
Fuata hatua zifuatazo kwa ajili ya kuinstall software inayohitajika:
- Kwanza kabisa, utahitaji udownload software inayoitwa BullZip. Link ya kudownload ni hii hapa > http://www.bullzip.com/products/pdf/download.php
- Utakapofungua huo ukurasa, click kwenye link inayosema "Click here to start your download..."
- Download hiyo software, na fuata maelezo yote. Katikati ya installation, software itakuomba ruhusa kudownload plugins fulani, ACCEPT THAT. Hizo plugins ni essential ili software ziweze kufanya kazi.
- Baada ya kumaliza installation, utakuwa tayari kusave nyimbo kama PDF.
Kusave wimbo kama PDF fuata hatua zifuatazo:
- Tengeneza wimbo wako kwa kutumia capella
- Ukimaliza, nenda kwenye File Menu, Kisha nenda kwenye Print kama inavyooneshwa pichani
- Baada ya hapo, utaona popup box kama ifuatavyo. Please note the red arrow:
- Kama haijaandikwa System Printer (Bullzip PDF Printer). Then Bonyeza kwenye Customize Button as shown by the red arrow below:





Safi sana baba. Kumbe mi nlikua natumia njia ndefu sana.
ReplyDeleteNashukuru sana... Glad it was helpful!
ReplyDelete